Inakuwaje mtu anamgega jinsia 1 na hao wanume hapo pichani na mashoga wote ni wabaya sana(kama mko humu jamvini nisameheni) ni nini has watu wanapenda au ni tatizo la kisaikolojia? mbona siku hizi watoto wazuri sana, hapa mbele yangu kuna kamoja KA-AUDITOR kutoka PWC kana niuliza maswali na kwa upole na sauti nyororo du kweli wameajiri malaika......