Wapi zinapatikana mashine za kuoka mkate

simba29

Senior Member
Joined
Jun 22, 2011
Posts
193
Reaction score
67
Habari!
ningependa kufahamishwa ni wapi kwa hapa Dar es salaam zinapatikana mashine za kuokea mikate ! pia hata bei yake kwa medium size! Asante'
 
Bei za wastani kwa mashine zenyeuwezo wa kilo 25:
Dough mixer (mashine ya kukanda ngano) 25kg used 3,500,000/= mpya 7,000,000/=
Oven 2 mpya zote 8,000,000/=Kila moja inaweza kuchukua Mikate 60kwa wit mmoja
Bread slicer(kisu cha mkate) 2,000,000/= used naweza kua 1,000,000/=
Cans (makopo ya mikate 200@7,000/=; scons 200@6,000/= banana na baby sikumbuki bei)
Wiring, meter ya three phase 1,000,000, tfda wanataka Mpishi awe na digrii ya food science nadhani inatolewa SUA.
Kama unataka kufanya biashara hii nakushauri anza na mixer ya kilo 25 au zaidi. Karibu
 
Asanteni kwa mchango....
Kaka umenipa ufafanuz wa kutosha sana... Kama huutojali unaweza ni PM namba yako kwa mawasiliano zaidi ,Asante kwa ushauri wako pia .. Geofrey
 
Last edited by a moderator:
Nitapatembelea hapo ....asante ka msaada Mamndenyi
 
Mkuu umeshuka Data vizuri,nakukubali.
Hii biashara niliwahi kuifikiria,ila bado navuta Ideas na Mtaji
Lakini Mpishi awe na Degree?hili mbona gum sana
 
Asanteni kwa mchango....
Kaka umenipa ufafanuz wa kutosha sana... Kama huutojali unaweza ni PM namba yako kwa mawasiliano zaidi ,Asante kwa ushauri wako pia .. Geofrey

Namba yangu; 0652 494919
 
Last edited by a moderator:
Mkuu umeshuka Data vizuri,nakukubali.
Hii biashara niliwahi kuifikiria,ila bado navuta Ideas na Mtaji
Lakini Mpishi awe na Degree?hili mbona gum sana

Ndio she ria zetu ndugu yangu, bila kona kidogo ngumu kwenda mstari ulionyooka
 
Mhn mbona si kuona hicho ki red na Hilo neno (ka) ..... Naona ni matokeo ya touch skrini..... Samahani Niwie radhi....inabidi niongeze umakini na hizi teknolojia..... Mamndenyi
 
Bei za wastani kwa mashine zenyeuwezo wa kilo 25:
Dough mixer (mashine ya kukanda ngano) 25kg used 3,500,000/= mpya 7,000,000/=
Oven 2 mpya zote 8,000,000/=Kila moja inaweza kuchukua Mikate 60kwa wit mmoja
Bread slicer(kisu cha mkate) 2,000,000/= used naweza kua 1,000,000/=
Cans (makopo ya mikate 200@7,000/=; scons 200@6,000/= banana na baby sikumbuki bei)
Wiring, meter ya three phase 1,000,000, tfda wanataka Mpishi awe na digrii ya food science nadhani inatolewa SUA.
Kama unataka kufanya biashara hii nakushauri anza na mixer ya kilo 25 au zaidi. Karibu
Mixer ya Kg 100, njoo tuyajenge tuipate kwa 5milion. Iko very simple, ikikorofisha waweza irekebisha mwenyewe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom