MKUDE SIMBA
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 305
- 168
Poleni na majukumu, naomba kufahamishwa wapi naweza pata NONDO kwa tani bei ya jumla nzuri Arusha.
Nenda Unga limited, katika kiwanda cha nondo AIM STEEL. Kiwanda kipo jirani na hospitali ya NSK na pia jirani na kiwanda cha mabati cha DragonPoleni na majukumu, naomba kufahamishwa wapi naweza pata NONDO kwa tani bei ya jumla nzuri Arusha.