Munirah seiph
Member
- Aug 14, 2017
- 88
- 90
AsanteNenda Halmashauri iliyopo karibu nawe Ila kumbuka connection matters
AsanteFINCA.
TIN ni bure Ila Leseni sio bure 😁Kwanini hautoi TIN na leseni?
Anzia kujiandikisha kwa mtendaji wako wa mtaa.
Anza na cha bure.TIN ni bure Ila Leseni sio bure 😁
NomaKausha damu. Watakukausha
Sawa sawaAnza na cha bure.
TIN ya biashara sio bure unalipia mpendwa kuna malipo unafanya na baada ya hapo Unalipia TRA kila baada ya mda flan TIN ya kawaida ndo bureTIN ni bure Ila Leseni sio bure
Unaingiaje Naomba ufafanuziKama biashara yako iko vizuri, ingia ubia na mtu mwenye sifa ya kukopa
Kausha damu hawatoi mkopo wa kutosha kufanya biashara iliyokwisha anza labda kwa mjasiriamali ambaye hajaanza kabisa mana mikopo yao ni elf 50 hadi laki na nusu ndo mwishoKausha damu. Watakukausha
Mtaji wa kuwalipa serikali ndo kipengele mana hivyo vinahitaji kulipiwa na sio kwa siku 1 kila mweziKwanini hautoi TIN na leseni?
Anzia kujiandikisha kwa mtendaji wako wa mtaa.
Unaweza kuingia makubaliano na muajiriwa labda mwalimu, yeye atoe mtaji wewe uwe unasimamia biashara, ili yeye akope kwa jina lake na akukabidhi wewe.Unaingiaje Naomba ufafanuzi
Sasa Mimi nimesema TIN km TIN hawa wa TRA wametandaza mabango wanasema TIN ni BureTIN ya biashara sio bure unalipia mpendwa kuna malipo unafanya na baada ya hapo Unalipia TRA kila baada ya mda flan TIN ya kawaida ndo bure
Tin ni bure ila leseni ya biashara ndio unalipa inategemea na biashara yako kisha TRA watakukadiria kodiTIN ya biashara sio bure unalipia mpendwa kuna malipo unafanya na baada ya hapo Unalipia TRA kila baada ya mda flan TIN ya kawaida ndo bure