Wapi Wanatoa HR Competent Certicate hapa Tanzania ?

Moro¹One¹

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2016
Posts
509
Reaction score
756
Habari wadau, na poleni na miangaiko ya maisha. Nilikua nauliza kama kuna sehemu wanatoa Certificate ya Mafunzo ya HR, kwa mtu alie tayari na Degree ya HRM, maana kazi zinatoka na wanaulizia na kuchomekea jambo hilo. Naamini nimeeleweka, msaada wadau.
 
Sijakuelewa, unakusudia certificate of HR proficiency?
 
Wanatoa Tanzania public service college (TPSC) magogoni DSM, mtwara Branch, tabora, na singida Branch. Ila coz hii inatolewa kwa HR officers ambao tayari wapo kazini
Nashukuru kaka !.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…