Massa JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 709 Reaction score 889 Jun 12, 2020 #1 Wakuu msaada wa kujua wanapouza hizo camera kama ikiwezekana na mafundi wa kuzifunga ndani ya nyumba kwa Mwanza kuna wezi wananisumbua sana. Leo mara ya tatu wanaiba vitu usiku. Nataka kuzaa nao nikiwakamata
Wakuu msaada wa kujua wanapouza hizo camera kama ikiwezekana na mafundi wa kuzifunga ndani ya nyumba kwa Mwanza kuna wezi wananisumbua sana. Leo mara ya tatu wanaiba vitu usiku. Nataka kuzaa nao nikiwakamata