Chukua baking soda kijiko kimoja weka kwenye kikombe, kamulia limao nusu, koroga.
Tumia mchanganyiko huo kusugulia meno yako kwa kutumia mswaki.
Sukutua vizuri kwa maji ya vuguvugu.
Tumia mchanganyiko huo kusugua meno yako mara moja kwa wiki. siku zilizobaki tumia dawa za meno za kawaida.