Wapi wanafanya service ya Volkswagen Touareg

Mkwai

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2012
Posts
306
Reaction score
96

Wakuu, kwa anayejua wapi naweza kupata service parts na spare parts za Volkswagen Touareg hapa Tanzania. (VW dealer in TZ?)

 

Attachments

  • VW-Touareg.PNG
    37.8 KB · Views: 322
ndio tatizo la kuoa kwa kuangalia figa,vw tuareg spea zinapatikana kwa dealers tu,ulinunua zile za mnada wa strabag nini rafiki?ongea na strabag wakupe mkataba wao na waliponunulia ili uuendeleze kwani hiyo gari hata service ndogo shida
 
ndio tatizo la kuoa kwa kuangalia figa,vw tuareg spea zinapatikana kwa dealers tu,ulinunua zile za mnada wa strabag nini rafiki?ongea na strabag wakupe mkataba wao na waliponunulia ili uuendeleze kwani hiyo gari hata serv ndogo i dar.

Ndiyo hivo kaka, ukipeda kitu inabidi uwe tayari kuyakabili mapungufu yake. No, niliagiza used JP.
 
Mkuu spare za WV kwa Tanzania ni shida. Lakini ukitaka kuna muhindi mmoja anaitwa Shamshudin duka lake lipo jirani na round about ya Uhuru/Msimbazi ni dealer wa siku nyingi wa spareparts za VW. Kwa kuwa yeye yuko connected, anaweza kukusaidia. Otherwise check na hao jamaa wa nini motors sijui (dealers wa Nissan) pale Vingunguti kwa sasa wana supply VW pick up mpya labda wanaweza kukupa mwanga pia.

Tiba
 

Asante sana Tiba kwa maelekezo mazuri.
 
ndio tatizo la kuoa kwa kuangalia figa,vw tuareg spea zinapatikana kwa dealers tu,ulinunua zile za mnada wa strabag nini rafiki?ongea na strabag wakupe mkataba wao na waliponunulia ili uuendeleze kwani hiyo gari hata service ndogo shida

kwa nini?!! mbona hata cmc wanazo spare parts za vw?!! mkuu Mkwai unataka spare au unataka kufanyiwa service? hongera kaka, mashine nzuri na hazina longolongo!
 
Last edited by a moderator:
Ndiyo hivo kaka, ukipeda kitu inabidi uwe tayari kuyakabili mapungufu yake. No, niliagiza used JP.

Alliance Auto, pembeni ya cfao, Nyerere Rd. Ndio dealer wa VW Tanzania.
 
kwa nini?!! mbona hata cmc wanazo spare parts za vw?!! mkuu Mkwai unataka spare au unataka kufanyiwa service? hongera kaka, mashine nzuri na hazina longolongo!

Ni service tu Kaka CYBERTEQ, kilometer za kufanya service zimekaribia, ningepeda kupata genuine service parts. Asante, nitacheki nao pia (CMC).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…