mtanganyikaJr
Member
- Jan 15, 2017
- 7
- 1
Nenda machinga complex pale karume kuna watu wananunuaMi ninauza compute aina ya HP elitebook 8440p
Core I5
HDD2500
Ram 4 GB
Inafanya kazi vizuri ikiwa na external monitor kwani tatizo lake ni Display kioo ndio kibovu
Chukua Laki moja, unipe machine hiyo.Mi ninauza compute aina ya HP elitebook 8440p
Core I5
HDD2500
Ram 4 GB
Inafanya kazi vizuri ikiwa na external monitor kwani tatizo lake ni Display kioo ndio kibovu
OK shukrani nitafikaKama uko dar nenda
Peleka pale Machinga gorofa ya tatu