Hb wa Ilala
JF-Expert Member
- Sep 23, 2015
- 1,190
- 1,217
Hiyo uliyonayo unapata IST mbonaHabari wadau, nna 6.5M ila nahitaji gari mpya within 6-12 months niwe nimekamilisha mkopo kama kuna mtu anafahamu napoweza kupata hii huduma msaada tafadhali!
NB:Nahitaji IST specifically for business purposes!
Vile matapeli tumeumia kwa sababu mleta uzi alikuwa ameshaingia kibla mwenyewe!😁😁😁
Sijaelewa!
Kama una 6m si unapata gari mojakwamoja mkuu
Amesema mpya. Sasa mpya kwake ina tafsiri gani?
Ila gari ya m13 utailipia lipa karibia M3Kuna baadhi ya makampuni ya kuagiza Magari yanatoa nafasi ya kulipa kwa instalments search humu JF utaona
Duh[emoji23]Vile matapeli tumeumia kwa sababu mleta uzi alikuwa ameshaingia kibla mwenyewe![emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 1911159
Ama ambayo siyo second hand tangu itue Bongo.[emoji848][emoji848][emoji848]MOSTLYAmesema mpya. Sasa mpya kwake ina tafsiri gani?
Kama ni mpya basi ni OKm au basi less than 1,000 kms.
Au yeye tafsiri yake ni newly imported from Japan.
Ama ambayo siyo second hand tangu itue Bongo.
kama unataka ya biasharaHabari wadau, nna 6.5M ila nahitaji gari mpya within 6-12 months niwe nimekamilisha mkopo kama kuna mtu anafahamu napoweza kupata hii huduma msaada tafadhali!
NB:Nahitaji IST specifically for business purposes!
Moja ya kampuni hizo Ni SBT,Kuna baadhi ya makampuni ya kuagiza Magari yanatoa nafasi ya kulipa kwa instalments search humu JF utaona
Newly imported nlimaanisha..Sijaelewa!
Kama una 6m si unapata gari mojakwamoja mkuu
Newly imported nlimaanishaAma ambayo siyo second hand tangu itue Bongo.[emoji848][emoji848][emoji848]MOSTLY
Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
Asante
AsanteKuna baadhi ya makampuni ya kuagiza Magari yanatoa nafasi ya kulipa kwa instalments search humu JF utaona
Nlizungumza nao mkuu, walinisaidia!