Nahitaji gari za kukodi kwa matumizi binafsi kwa mwanza? Nani mwenye kujua kampuni yoyote labda tusaidiane wadau?
Gari ndogo tu aina yoyote ile ambayo itafaa kwa matumizi ya mizunguko hapa mwanza....
Nakuuliza hivi coz unaweza kuwa na mizunguko mingi inayohitaji multipurpose cars mfano kutembea nje ya kwenye barabara za fumbi km Kolomije,Serengeti np n,k
80000 kwa siku mafuta utakuwa unajaza mwenyewe,nakujazia fulltank kuanzia na siku ya kurudisha unairudisha ikiwa full tankNakuuliza hivi coz unaweza kuwa na mizunguko mingi inayohitaji multipurpose cars mfano kutembea nje ya kwenye barabara za fumbi km Kolomije,Serengeti np n,k
80000 kwa siku mafuta utakuwa unajaza mwenyewe,nakujazia fulltank kuanzia na siku ya kurudisha unairudisha ikiwa full tank
60,000/= mafuta juu yako mkuu.Nahitaji gari za kukodi kwa matumizi binafsi kwa mwanza? Nani mwenye kujua kampuni yoyote labda tusaidiane wadau?