wapi nitapata wateja wa kobe?

Fadhili Paulo

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2011
Posts
3,211
Reaction score
996
wakuu,

Nina kobe zaidi ya 100 hapa Chanika D'Salaam, nauliza wapi nitapata wateja wa hiki kitoweo? na je wananunua kwa bei gani?



mwenye taarifa walipo wateja na bei zao anijuze hapa
 
mkuu wachina Chanika huko hawapo?
Ndo wateja wazuri sana hao wa hiyo malighafi.
Swali langu kwako mkuu ni kwamba uliwezaje kupata hizo nyara za taifa nyingi hivyo?
Una kibali cha kufanza hiyo biashara toka Maliasili na Utalii?
Kama we ni mtoto wa kigogo nipotezee mkuu. Usijibu swali hata moja.
tehe tehe ha ha ha ha
 
Sikujua kama kobe ni kitoweo duh, kumbe ile methali ya kumchinja kobe ni ya ukweli
 
wakuu,

Nina kobe zaidi ya 100 hapa Chanika D'Salaam, nauliza wapi nitapata wateja wa hiki kitoweo? na je wananunua kwa bei gani?



mwenye taarifa walipo wateja na bei zao anijuze hapa

Nyara za serikali hizo wewe,halafu wewe ni confirmed user unaweka Tangazo la kuuza nyara za serkali? liondie faster kabla wanoko hawajaliona wakakufanya dili wakati kobe umewafuga mwenyewe!!kasa, kobe?


 
Ni shilling ngapi unauza?nyama tamu sana hyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…