FatherOfAllSnipers
JF-Expert Member
- Mar 13, 2019
- 1,708
- 4,493
Doooh!! na hilo jina lako.....Nahitaji vinyago vya kuvaa usoni (siyo vile vya kutisha)
Nahitaji vya sura tofauti na yangu, nadhani zinaitwa Mask, sina uhakika na jina hilo.
Wapi nitazipata?
Tofauti na Mask, zina jina lingine?
Kwa huyo utapataDoooh!! na hilo jina lako.....
La kwako vipi? ,Nyani haoni kundule!Doooh!! na hilo jina lako.....
KARIAKOOOKOO/MAKUMBUSHO NA MLIMANI CITY VIPO VINAUZWANahitaji vinyago vya kuvaa usoni (siyo vile vya kutisha)
Nahitaji vya sura tofauti na yangu, nadhani zinaitwa Mask, sina uhakika na jina hilo.
Wapi nitazipata?
Tofauti na Mask, zina jina lingine?
Unajiona mjanjaaaa na iyo chupi yako yenye nembo ya CMM nyumaMagdalena vipi nikajua ushakufa kumbe unatembeza bado hilo kalio lako jeusi kama chatu wa Kiwira.
Jina lako na unachokitafuta inanitia shaka sana kwa usawa huuNahitaji vinyago vya kuvaa usoni (siyo vile vya kutisha)
Nahitaji vya sura tofauti na yangu, nadhani zinaitwa Mask, sina uhakika na jina hilo.
Wapi nitazipata?
Tofauti na Mask, zina jina lingine?
SawaKARIAKOOOKOO/MAKUMBUSHO NA MLIMANI CITY VIPO VINAUZWA
.AliexpressNahitaji vinyago vya kuvaa usoni (siyo vile vya kutisha)
Nahitaji vya sura tofauti na yangu, nadhani zinaitwa Mask, sina uhakika na jina hilo.
Wapi nitazipata?
Tofauti na Mask, zina jina lingine?
Mkuu, naona hizo si kama ninazo zihitaji, mimi nahitaji ambayo haina sura/mwonekano wa mnyama au chochote, ila iwe na mwonekano wa sura ya binadamu, niwe na uwezo wa kuivaa popote ninapo ihitaji..AliexpressView attachment 1175162
Maeneo uliyotaja vinapatikana tofauti na ninavyo vihitaji.KARIAKOOOKOO/MAKUMBUSHO NA MLIMANI CITY VIPO VINAUZWA
OKAY, NGOJA WAJUZI WAJE KUKUSAIDIAMaeneo uliyotaja vinapatikana tofauti na ninavyo vihitaji.
Unataka kufanya uhalifu gani? Kuna duka nalifahamu linauza hivyo vinyago ila mpaka tukubaliane kwa masharti nafuu.
Yes, hapa Bongo mara zote naona vinyago vya wanyama au katuni fulani, Ben Ten, Nyani n.kKwa China ungepata maana ndio wataalamu wa sura za kuzuga, huku ni vinyago vya nyani na Ben ten ndo vimekithiri
Hapana boss wanguYes, hapa Bongo mara zote naona vinyago vya wanyama au katuni fulani, Ben Ten, Nyani n.k
Ila mimi nahitaji vinyago vya sura ya binadamu.
Kuna kampuni yoyote unayoifahamu japo inayofanya kazi hiyo?