Sisi tunavyo boss..tuna vifaa vyote vinavyo husika na umwagiliaji kwa kutumia drip irrigation na sprinklers pia,tuna driplines,filters,connectors,sprinkler heads n.k, pia tuna husika na kudesign na kufunga mifumo hii mashambani na tuna waandisi wenye uzoefu pia.Kwa maswali na ushauri tafadhali wasiliana nasi kwa namba 0752022108