Wapi nitapata suti za mtumba za bei nafuu?

GAZETI

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
5,292
Reaction score
6,773
Hususani kwa hapa Dar es salaam. Suti isizidi laki moja(100,000) bei lakini hata ikiwa elfu kumi(10,000) sio mbaya

 
Mimi kinachoniacha hoi ni mtumba kuuzwa ghali na kuambiwa ni grade one aisee
 
Mleta mada unataka uende kwenye minada ya Nyumba kama mtaalamu wa utabibu Dr.Shika?
Au unataka ugombee uenyekiti wa serikali za mitaa?
Kila la heri GAZETI
Nataka kufungua ofisi ya Udalali.
 
mkuu nenda barabara ya uhuru pale ukuta wa TBL utapata hiyo kitu kwa bei nafuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…