Habari wakuu,
Siku kadhaa za karibuni nimekuwa nikisumbuliwa na jino la pembeni. Nilienda kwenye dental clinic moja katikati ya wiki, nikaambiwa matibabu yake ni root canal...ila tatizo ni bei yao kubwa... Laki4.5.
Naoma kujua sehemu nnayoweza pata huduma hii kwa ubora ila bei ya mtanzania wa kawaida.