Wapi nitapata Spea za pikipiki kwa bei ya jumla?

Wapi nitapata Spea za pikipiki kwa bei ya jumla?

TEAM 666

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2017
Posts
4,423
Reaction score
8,653
Habari wakuu,

Wapi nitapata chimbo la spea za pikipiki kwa bei ya jumla nahitaji kuuuza jumla la rejareja sasa wapi nitapata mzigo kwa bei ya jumla mwenye data kuhusu hii biashara msaada wakuu.
 
Back
Top Bottom