Pete zipo ni wewe tuu.unahtaj grm ngap dhen mnabagen.ila bei ya gram 1 kwa sasa ni 130000. Hiyo ni dhahabu mbichi..ambayo imetoka pori sio hz za kuspry
Last time nilinunua pale mbezi kama unaelekea stend ya magufuli gram 1.8 kama sikosei mia tatu hivi na visenti ( ilijumuisha gharama za kuitanua).
NB .Leo hii hatunayo wanaojua umuhimu wake walimvizia mama watoto wakapita nayo .