Wapi nitapata Marble kitchen tops kwa bei nafuu..?

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
40,521
Reaction score
46,606
Nataka nifanye finishing kwenye jiko langu na napendelea niweke Marble kitchen tops hasa zenye rangi nyeusi ya kung'aa.., nitapata wapi kwa hapa Dar na kwa bei nafuu..?
 
jaribu kutembelea maduka ya mnyamala studio pale kona kuna duka la vitu vya ndani,

au nenda nyerere road kuna duka la home shopping centre nadhani hapo utapata mkuu
Nataka nifanye finishing kwenye jiko langu na napendelea niweke Marble kitchen tops hasa zenye rangi nyeusi ya kung'aa.., nitapata wapi kwa hapa Dar na kwa bei nafuu..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…