GYNEOCOLOGIST
Senior Member
- Sep 13, 2016
- 171
- 112
Nilikuwa na fundi wangu moja hivi sema yuko mbali kidogo kwa sasa.
Akirudi nitajitahidi niku PM mawasiliano yake.
Wakuu mwenye picha atuwekee tuone zinakuwaje hizo suti!
Huyu baba mwenye suti nyeusi sijui fundi wake wa suti ni nani! Au mwenyewe anapenda oversize!?
Yuko mmoja pale kinondoni A, ila nawasiwasi km hajhamia Dom maana kuna mheshimiwa mmoja alitaka ahamie kule.Kiukweli kaunda suti ikishonwa na fundi anayeijulia inatoka poa saaaana na hasa ikivaliwa na mtu mwenye mwili wa wastani, yaani si mnene. Naomba kujuzwa ni wapi walipo mafundi wazuri wa hii kitu, nataka nibadili mwonekano wangu toka tishits na jeans hadi kaunda suti
Ha ha ha ha ha kwanini mkuu