Ninayo ya kwangu iko poa ila home button inabidi ubonyeze kwa nguvu na ndio nayoitumia ss hivi kama uko interest ni pm ni 16 gb rangi nyeusi,unlocked unaweza tumia kwa laini zozote za kibongo pasipo na tatizo
Samahani wakuu kwa kuwakera ! Siku nzima leo sikuingia humu,nilikuwa nimebanwa kikazi. Ila kifupi nashukuru nimepata kwa 350,000 jana!
Niko kongwa,dodoma.