MkuuNina Mama yangu Mzazi alikuwa anaumwa jino nilimpeleka Muhimbili. pale karibu na Geti la kuingilia. Alitolewa jinasio lenyewe..baada alikuja Mwl Dr. wa yule mwanafunzi pale akaangalia,then akaangalia ile X-RAY Akammfokea yule mwanafunzi kwanini umemng'oa jino mama huyo ambalo si lenyewe..baada ikabidi angolewe jino husika..pia akamwambia haya muombe mama huyu samahani.Trust me... Muhimbili is the best. Nenda ukajieleze vizuri, nimetibiwa muhimbili na sijawahi kung'olewa jino pale.
That is my best advice to you
Pia labda uniambie nikamuone Dr.Gani pale Mkuu inawezekana una hoja pia...sababu kwa sasa meno pande zote yanauma,nikitafuna kitu napata maumivu makali sana kwenye meno mawili kushoto na moja kulia,pia na fizi zinauma ....lakini meno yote ni makavu,magumu hata kulegea hakuna nahisi Tatizo lipo kwenye fizi..Trust me... Muhimbili is the best. Nenda ukajieleze vizuri, nimetibiwa muhimbili na sijawahi kung'olewa jino pale.
That is my best advice to you
Kuna hosipital iko Arusha. Ni ya Wasabato ni wazuri sana kwenye meno. Iko Njiro.Husika na kichwa cha habari hapo juu...
jamani Wataalam wa Afya kwa muda kadhaa nimekuwa na matatizo ya Meno...
ni hospital gani Nzuri naweza kwenda kwa matibabu?
Usiniambie Muhimbili....wao kazi yao ni kutoa jino tuu wanaweza kukutoa hata meno yote kisa tuu yanauma hahaha.kuna meno kufa ganzi,meno kuuma tuu haswa unapotafuna kitu pande zote mbili za taya.
Ahsanteni.
Muhimbili nikamuone Dr.Nani Mkuu?Muhimbili mkuu,,
Sawa Mkuu...wana vifaa vya kuchunguza jino?....unajua jino ni very sensitive organ...na huwa ukimpata mtaalam hadi una enjoy...tofauti na magonjwa kama ya tumbo..Nenda maeneo ya Tabata bima iko zahanati pale
Muslim.Hii zahanati wanao madentis wazuri na bei powa.
Hawang'owi jino mpaka uridhie.
Hapo Victoria napafahamu ni wakorea...ila wana bei hao balaa niliwahi kumpeleka baba yangu mwaka jana hapo kwa ajili ya macho...sina uhakika kama na meno wanatibu...Nenda hapo Victoria kuwa wakorea wako vizuri. Ila cjui hiyo dispensary yao inaitwaje wait nimuulize Mother
Mkuu nenda hapo Clinic ongea na madentist ukiridhika fanyia hapo kama huridhiki tafuta kwingine.Sawa Mkuu...wana vifaa vya kuchunguza jino?....unajua jino ni very sensitive organ...na huwa ukimpata mtaalam hadi una enjoy...tofauti na magonjwa kama ya tumbo..
Nenda Ekenywa Mkuu. Nimekuwekea Namba zao hapo juuHapo Victoria napafahamu ni wakorea...ila wana bei hao balaa niliwahi kumpeleka baba yangu mwaka jana hapo kwa ajili ya macho...sina uhakika kama na meno wanatibu...
Nitakuja hapo Mkuu...nipo safarinin nje ya Dar...baada ya majuma kadhaa nitakuwa hapo...NJOO EKENYWA MKUU 0762291006
Dr hivi gharama za braces zinakuwaje?NJOO EKENYWA MKUU 0762291006
vipi kuhusu kuweka Yale meno bandia magumu ambayo hayatoki na yanakaa muda mrefu. gharama yake ikoje doctor?? kwa jino?Karibu ekenywa specialized medical hospital
Mimi ni Dental surgeon tunavifaa vya kisasa karibu sana 0762291006
Karibu ekenywa specialized medical hospital
Mimi ni Dental surgeon tunavifaa vya kisasa karibu sana 0762291006