PistolGang
JF-Expert Member
- Jan 16, 2013
- 392
- 44
Habari wadau?
Naomba wa kunijuza ni maduka yapi mjini Dar huuza hangers za nguo kwa ajili ya boutique kwa bei ya jumla.
Ukinijuza na bei zake utanisaidia sana.
Naomba wa kunijuza ni maduka yapi mjini Dar huuza hangers za nguo kwa ajili ya boutique kwa bei ya jumla.
Ukinijuza na bei zake utanisaidia sana.