Wapi nitapata body to body massage kwa Dar?

Ukiwa Tanesco - Mikocheni kuna bara bara iko kando ya Ukuta wa Tansesco then unafika Villas, ziko nyingi kwenye fensi ukitembea na hio njia kuna hizo huduma wameweka bango kabisa,ziko kama nne au tano kwenye maeneo hayo, Nyingine nenda pale Nefaland Hotel
 
habarini wadau, moja kwa moja kwenye kichwa cha habari,JAMANI WAPI NAWEZA PATA SERVICE YA BODY TO BODY MASSAGE kwa hapa dar es salaam!
Mkuu umenifanya nikawaza mbali sana hadi nikafika Corner Bar services at night time.....

Anyway....... pengine unahitaji Body Therapy na yawezekana mimi ndie nime elewa hadi nikapitiliza.....
 
Mkuu umenifanya nikawaza mbali sana hadi nikafika Corner Bar services at night time.....

Anyway....... pengine unahitaji Body Therapy na yawezekana mimi ndie nime elewa hadi nikapitiliza.....
Amigooooooo
 
Nenda pale mikocheni kuna moja inaitwa SPA kama sijakosea jina fuata Hubert kairuki road kabla hujafika hurbert hospital kuna njia moja inachepuka hapo mkono wa kulia hesabu nyumba ya kwanza..pili halafu yenyewe iko nyumba ya tatu mkono wa kulia watakupa massage ya uhakika mkuu....

Kila kheriii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…