Savimbi Jr
JF-Expert Member
- Sep 23, 2011
- 6,818
- 9,193
Hakiiiiiiiii,
Ccm itaondoka Kama alivyoondoka firauni,tulieni tulieni Kuna mengiiii.
Naombeni muweke video clips za Huyo bwana.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] hakiiii sawaaaaKwa mwenye ile video clip yenye wimbo wa Achukucha ambao kuna jamaa alikuwa Jukwani akasema CCM itaondoka kama alivyoondoka Firauni anisaidie bajameni.
Sante sana mkuu[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] hakiiii sawaaaa
SISIEM ITAONDOKA KAMA ALIVYOONDOKA FIRAUNI
halafu linaachiwa biti la waichukucha na jamaa anaanza kucheza kidogo
Nadhani huyu alikuwa mtawala wa Misri ya kale akiitwa Farao.Hivi maana ya Firauni ni nini?
Upo sahihi mkuuNadhani huyu alikuwa mtawala wa Misri ya kale akiitwa Farao.
****Nipo tayari kusahihishwa.
Ndo FARAOHivi maana ya Firauni ni nini?
Unajua mi kila siku kuwa neno firahuni navyofahamu kuwa ni tusi kumbe sio [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nadhani huyu alikuwa mtawala wa Misri ya kale akiitwa Farao.
****Nipo tayari kusahihishwa.
Firauni ni kiswahili fasaha cha Pharaoh kama sikoseiUnajua mi kila siku kuwa neno firahuni navyofahamu kuwa ni tusi kumbe sio [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unajua wazee wetu wanafight sana kutafuta maisha,,, apo yote hayo ni lutafuta maslai. Nadra sana kuona kwa vijana hivi vitu[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] hakiiii sawaaaa
SISIEM ITAONDOKA KAMA ALIVYOONDOKA FIRAUNI
halafu linaachiwa biti la waichukucha na jamaa anaanza kucheza kidogo