Babu Kijana
JF-Expert Member
- Jan 24, 2013
- 589
- 278
Nauliza sehemu nzuri na iliotulia niende na mke wangu leo usiku kutazama mechi kali za leo usiku Astonvilla vs Man City na ile ya hispania kati ya Madrid vs Valadolid zote kwa pamoja huku nikiburudika na vinywaji mdogomdogo. Kwa anaejua mahali pazuri kwa hapa dar anifahamishe.