Zinapatika mkuu, me nilininua Kariakoo kwenye duka la vifaa vya radio hasa za magari, na nilinunua kwa 45k nilikuwa natumia ila toka walipositisha analogy wakaweka digital nikashindwa kupata decoder na antena au kidish kwa matumizi niliyokuwa nayo. Kama vp njoo inbox