Tripo9
JF-Expert Member
- Sep 9, 2009
- 4,352
- 3,533
JF Doctror
Nipo Dar, Nataka ushauri wa hospitali (ambayo inaaminika) ambayo naweza kutumia kadi yangu ya AAR nikafanye cheki ya mwili wangu katika maeneo yafuatayo:
Shukrani wajameni
Nipo Dar, Nataka ushauri wa hospitali (ambayo inaaminika) ambayo naweza kutumia kadi yangu ya AAR nikafanye cheki ya mwili wangu katika maeneo yafuatayo:
- Medical examination
- An HIV test
- Micro Urinalysis
- Electrocardiogram (EGC)
- Full size chest X-ray
- Fasting blood sugar, serum cholesterol, (HDL, LDL, Total) Serum creatinine, Serum bilirubin. SGOT, SGPT, Gamma GT and full Haemogram (including ESR)
Shukrani wajameni