B Black Panther X JF-Expert Member Joined Sep 4, 2014 Posts 230 Reaction score 669 Sep 9, 2020 #1 Naomba cheki picha hapo. Natafuta Oats kwa kilo (ikiwezekana kilo 5 kwenda juu). Niko Dar ila kama inapatikana katika mikoa mingine hamna neno pia.
Naomba cheki picha hapo. Natafuta Oats kwa kilo (ikiwezekana kilo 5 kwenda juu). Niko Dar ila kama inapatikana katika mikoa mingine hamna neno pia.
Masai wa Town JF-Expert Member Joined Apr 9, 2017 Posts 6,728 Reaction score 24,540 Sep 9, 2020 #2 Ni mbegu gani hizo?!
Ushimen Platinum Member Joined Oct 24, 2012 Posts 44,112 Reaction score 110,852 Sep 9, 2020 #3 Simon999 said: Naomba cheki picha hapo. Natafuta Oats kwa kilo (ikiwezekana kilo 5 kwenda juu). Niko Dar. Ila kama inapatikana katika mikoa mingine hamna neno pia. Click to expand... Hii kitu nimeikula sana miaka flani nilipokua nikiishi nchi flani... Nirahisi sana kuiandaa, na ndani ya dakika mbili chakula chako kinakua tayari.
Simon999 said: Naomba cheki picha hapo. Natafuta Oats kwa kilo (ikiwezekana kilo 5 kwenda juu). Niko Dar. Ila kama inapatikana katika mikoa mingine hamna neno pia. Click to expand... Hii kitu nimeikula sana miaka flani nilipokua nikiishi nchi flani... Nirahisi sana kuiandaa, na ndani ya dakika mbili chakula chako kinakua tayari.
Qurie JF-Expert Member Joined Aug 9, 2015 Posts 3,645 Reaction score 3,890 Sep 9, 2020 #4 Ushimen said: Hii kitu nimeikula sana miaka flani nilipokua nikiishi nchi flani... Nirahisi sana kuiandaa, na ndani ya dakika mbili chakula chako kinakua tayari Click to expand... Ndo kile unaweka maziwa eeee.
Ushimen said: Hii kitu nimeikula sana miaka flani nilipokua nikiishi nchi flani... Nirahisi sana kuiandaa, na ndani ya dakika mbili chakula chako kinakua tayari Click to expand... Ndo kile unaweka maziwa eeee.
Ushimen Platinum Member Joined Oct 24, 2012 Posts 44,112 Reaction score 110,852 Sep 9, 2020 #5 Qurie said: Ndo kile unaweka maziwa eeee Click to expand... Ndio mkuu... Maziwa fresh unayachemsha.