Wapi naweza pata rafiki wa kike Tanga mjini

Wapi naweza pata rafiki wa kike Tanga mjini

yuya

Member
Joined
Nov 7, 2011
Posts
46
Reaction score
7
Kwa wale wanaoufahamu mji wa Tanga maeneo gani nitembelee saa za jioni nipate rafiki wa kike. Mimi ni mgeni hapa Tanga mjini.
 
Ujue mji kwanza na tamaduni zake, sio kila mji wakuvamia. Tembelea Raskazone siku za w,ends.
 
ww ni mgen? unataka rafk wa kike saa za jion? je km wanapatkana UKAHABANI will u b ready?
 
  • Thanks
Reactions: SpK
"Waja leo waondoka leo"....full customer care....chezea Tanga weye....je umeoa? Angalia usijemsahau mkeo....
 
ni PM nikupe namba kuna goma liko pale NMB matata sana linauza sukari...

Bwana Babu Kizee nipe hiyo namba. Unajua nitakuwa Tanga karibu mwezi 1. Nimeshindwa kuku P
 
Jamani niko serious. Nitakaa mwezi mzima tanga. Bwana jerrymsigwa nifanyaje nisiopoe jini?
 
Huyu rafiki anayetafutwa kama sindano ilopotea huyu? Wee sema unasaka mgegedo tu.
 
Back
Top Bottom