Wapi naweza kupata vifungashio Dodoma

Wapi naweza kupata vifungashio Dodoma

novela

Member
Joined
Jan 7, 2014
Posts
42
Reaction score
11
Wakuu naomba kuelekezwa kwa anayefahamu wapi naweza kupata vifungashio vya plastic ambavyo ni transparent aina ya makopo kwa Dodoma.
 
mimi pia niko dom lakin vfungashio vnapatikana dar mkuu dom utahangaika sana
 
Kuna duka nyuma ya jengo la ccm mkoa
Pale ofisi ya mkuu wa mkoa, pembeni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom