laii
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 853
- 1,126
Kuna Dada anaishi Dar Es Salam-kinondoni,kaniomba nimuulizie hii kitu, yeye hana smart phone ila nilipomwelezea faida nazopata kupitia Jf akatokea kuvutiwa nayo na kunituma huu ujumbe. Location anayotegemea kufungua ni mkwajuni. Ntakua naleta mrejesho wa kila hatua kama akiridhia wakuu.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba mnipe chimbo nitakalopata viafaa vya saluni ya kike vyenye ubora MA bei ya kawaida. Naamini huku kuna wabobezi, nikipata mtu akanipa na tips za usimamiaji nitafurahi sana sana. Mimi sijawahi fanya biashara ya saluni. Na muda mwingi nakua kazini, kazi yangu ni mtu Wa masijala somewhere, sasa natafuta kitu cha kuongeza Kipato.jinsia Ke.