Deleted_account
JF-Expert Member
- Nov 1, 2008
- 3,385
- 3,702
Unafahamu maana ya hilo neno "KAUSHA DAMU" ulilolitumia kwenye title?Wadau habari,
Hali imekuwa mbaya kiuchumi nimepata emergency, wapi naweza kupata wanaokopesha hao wanaita kausha damu nikope kwa riba hadi mwisho wa mwezi tu.
Wezi wamenikombea vitu ndani nimebaki mweupe, hata mtu binafsi kama anaweza kunisaidia.
Asanteni, nipo dar.
Kama kweli umeajiriwa na huwezi kukopeshwa laki moja na muajiri wako basi jipange utafute shughuri nyingine ya kufanya, huna ajira una kibarua tu.Hapo kwenye bondi ndio changamoto maana wamenikombea hadi vile vichache nilivyokuwa navyo, ila ni muajiriwa na mtu anaweza kuja hadi ninapofanyia kazi na nikampa na vithibitisho vingine.
Kiasi ni laki 1 tu, riba ataniambia yeye. Narudisha tar 25
Laki moja umekosa wa kukopa hapo ofisini wala mtaani pako? Wewe ni tapeli au mdhulumajiHapo kwenye bondi ndio changamoto maana wamenikombea hadi vile vichache nilivyokuwa navyo, ila ni muajiriwa na mtu anaweza kuja hadi ninapofanyia kazi na nikampa na vithibitisho vingine.
Kiasi ni laki 1 tu, riba ataniambia yeye. Narudisha tar 25
Aisee sio rahisi kama unavyoweka, at least ungeuliza ujue mtu anafanya wapi na kwanini amekosa. Unadhani ni kila ofisi ukisema unataka hela muda wowote unapata?Laki moja umekosa wa kukopa hapo ofisini wala mtaani pako? Wewe ni tapeli au mdhulumaji
Dah asee nilijua hata unataka hela kumbe hutaki. Laki ndio uandike uzi?Hapo kwenye bondi ndio changamoto maana wamenikombea hadi vile vichache nilivyokuwa navyo, ila ni muajiriwa na mtu anaweza kuja hadi ninapofanyia kazi na nikampa na vithibitisho vingine.
Kiasi ni laki 1 tu, riba ataniambia yeye. Narudisha tar 25
Labda ili nikusaidie tu, unafanyakazi kwa mtu au umeajiliwa na taasisi?Aisee sio rahisi kama unavyoweka, at least ungeuliza ujue mtu anafanya wapi na kwanini amekosa. Unadhani ni kila ofisi ukisema unataka hela muda wowote unapata?
Kama ni pesa ndogo kwako msaidie bure tu hata nusu yake hazina yako itakuwa mbinguni.Dah asee nilijua hata unataka hela kumbe hutaki. Laki ndio uandike uzi?
Mbingu ni nini?Kama ni pesa ndogo kwako msaidie bure tu hata nusu yake hazina yako itakuwa mbinguni.
Ahsante nini, uwe unalipa madeni ya watuAsante
Sijaelewa hapo kwenye black ipoBlack ipo wanakupa hela chap
Vigezo na mashart kuzingatiwa