Wapi naweza kupata miche ya almonds Tanzania?

Jalema

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2013
Posts
594
Reaction score
869
Wadau msaada haya matunda ya almonds hapa bongo inapatikana sehemu gani.je mti wake unastawi kama nikiamua kuupanda na unachukua mda gani mpaka unakua na kutoa matunda.wapi ntapata mche wake?
 
Nimejileta tu kimbelembele!! Sijawahi kuona hiyo kitu!!
 
Najua ni kama karanga na zinapatikana sana California USA lakini pia zipo nchi nyingine zinalimwa
Kwa Africa ni South Africa lakini kwetu sijui lakini unaweza kuilima
 
Tafadhali ukipata nami unijuze samahani
 
Wadau msaada haya matunda ya almonds hapa bongo inapatikana sehemu gani.je mti wake unastawi kama nikiamua kuupanda na unachukua mda gani mpaka unakua na kutoa matunda.wapi ntapata mche wake? View attachment 764235
Nenda pale TAFES maeneo ya boko miti imeota mingi au kama walishaikata nikipata muda uje maeneo ya external nitakuonyesha miti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…