Naomba kujua wapi naweza kupata kiwanja kwa mil.2 hapa dar? Nikipata hata nusu eka itatosha. Vipi vya mabwepande vinaanzia Sh ngapi?

Nusu eka unaijua lakini?
Dar ea Salaam nusu eka ukikuta inauzwa kwa bei hiyo ni very suspicious.
Bei hiyo tafuta vile vya 20 kwa 20 utapata.
Naomba kujua wapi naweza kupata kiwanja kwa mil.2 hapa dar? Nikipata hata nusu eka itatosha. Vipi vya mabwepande vinaanzia Sh ngapi?
Naomba kujua wapi naweza kupata kiwanja kwa mil.2 hapa dar? Nikipata hata nusu eka itatosha. Vipi vya mabwepande vinaanzia Sh ngapi?
Kiwanja chenye ukubwa wa nusu heka kwa shilingi milioni mbili Dar? Unamaanisha DAR ES SALAAM au DAREDA ile ya MANYARA?
[h=3]kiwanja kinauzwa[/h]
Acheni kumtisha jamaa!
Bandugu tembelea tovuti mbalimbali utapata eneo tena nzuri kwa pesa hiyo.
Ebu pitia hapo chini.