K Kikwata Member Joined Feb 3, 2015 Posts 56 Reaction score 65 Apr 3, 2018 #1 Habari wana jamvi! Kama kichwa cha habari kilivyo gusia, 1.Wapi naweza kununua fataki kwa Dsm!? Vipi kuhusu gharama zake? 2. Kuna kibali au taratibu inayo takiwa kufwatwa kabla ya kutumia fataki?
Habari wana jamvi! Kama kichwa cha habari kilivyo gusia, 1.Wapi naweza kununua fataki kwa Dsm!? Vipi kuhusu gharama zake? 2. Kuna kibali au taratibu inayo takiwa kufwatwa kabla ya kutumia fataki?
Mtengwa II JF-Expert Member Joined Mar 13, 2017 Posts 954 Reaction score 1,577 Apr 3, 2018 #2 nenda maduka ya wahindi
enjai ya kyasha JF-Expert Member Joined Apr 6, 2017 Posts 3,097 Reaction score 3,654 Apr 3, 2018 #3 Unataka kuandamana????
Adverse Effect JF-Expert Member Joined Oct 8, 2017 Posts 3,518 Reaction score 8,968 Apr 3, 2018 #4 Kama upo Dar, kisutu kwenye maduka ya wahindi
K Kikwata Member Joined Feb 3, 2015 Posts 56 Reaction score 65 Apr 4, 2018 Thread starter #5 Adverse Effect said: Kama upo Dar, kisutu kwenye maduka ya wahindi Click to expand... Thank you. Vipi kuhusu kutumia, kuna taratibu zozote za kufuatwa kabla, kama kibali!?
Adverse Effect said: Kama upo Dar, kisutu kwenye maduka ya wahindi Click to expand... Thank you. Vipi kuhusu kutumia, kuna taratibu zozote za kufuatwa kabla, kama kibali!?
Bornventure JF-Expert Member Joined Jan 29, 2017 Posts 529 Reaction score 523 Apr 4, 2018 #6 Ndiyo, ni mpaka ukaombe kibali police, this is only in Tanzania
K Kikwata Member Joined Feb 3, 2015 Posts 56 Reaction score 65 Apr 4, 2018 Thread starter #7 junejwani said: Ndiyo, ni mpaka ukaombe kibali police, this is only in Tanzania Click to expand... Kazi kweli kweli. Mambo ya kawaida tu hayo hadi vibali tena!
junejwani said: Ndiyo, ni mpaka ukaombe kibali police, this is only in Tanzania Click to expand... Kazi kweli kweli. Mambo ya kawaida tu hayo hadi vibali tena!
ZOPPA JF-Expert Member Joined Jan 20, 2017 Posts 2,742 Reaction score 2,906 Apr 4, 2018 #8 Wew yakqzi gani
K Kikwata Member Joined Feb 3, 2015 Posts 56 Reaction score 65 Apr 4, 2018 Thread starter #9 team fenga said: Wew yakqzi gani Click to expand... Yakupiga juu usiku!
ZOPPA JF-Expert Member Joined Jan 20, 2017 Posts 2,742 Reaction score 2,906 Apr 4, 2018 #10 Mmh kwanni usipige mchana
K Kikwata Member Joined Feb 3, 2015 Posts 56 Reaction score 65 Jul 9, 2018 Thread starter #11 ZOPPA said: Mmh kwanni usipige mchana Click to expand... Mchana miale yake haita onekana.
K Kikwata Member Joined Feb 3, 2015 Posts 56 Reaction score 65 Jul 10, 2018 Thread starter #12 Adverse Effect said: Kama upo Dar, kisutu kwenye maduka ya wahindi Click to expand... Nashukuru sana ndugu.
Adverse Effect said: Kama upo Dar, kisutu kwenye maduka ya wahindi Click to expand... Nashukuru sana ndugu.
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,579 Reaction score 161,432 Jul 10, 2018 #13 Kikwata said: Yakupiga juu usiku! Click to expand... hah hah haaaa haha Hahahahaäa haaaa