Idd Ninga JF-Expert Member Joined Nov 18, 2012 Posts 5,539 Reaction score 4,852 Jun 13, 2015 #1 Habari zenu wa Jf wote. Mimi nipo naishi Arusha. Nilikuwa nauliza wapi nitaweza kupata chuo cha kujifunza lugha ya kichina ? Mwenye kufahamu awasiliane nami kwa email ya iddyallyninga@Gmail.com ,nitashukuru sana.
Habari zenu wa Jf wote. Mimi nipo naishi Arusha. Nilikuwa nauliza wapi nitaweza kupata chuo cha kujifunza lugha ya kichina ? Mwenye kufahamu awasiliane nami kwa email ya iddyallyninga@Gmail.com ,nitashukuru sana.
machasembo Senior Member Joined Jul 31, 2017 Posts 124 Reaction score 234 Jul 10, 2018 #2 Umeshapata hiyo shule? Na mimi nataka kujifunza KICHINA, KITURUKI na KISUKUMA
Mbao za Mawe JF-Expert Member Joined May 11, 2015 Posts 23,372 Reaction score 55,027 Jul 10, 2018 #3 Ras Simba anaweza kukupiga Burashi hebu muone.
Kudasai JF-Expert Member Joined Jan 1, 2016 Posts 229 Reaction score 297 Jul 10, 2018 #4 Kichina, Kijapan nasikia UDOM vinafundishwa. Cheki huko