binti kikojozi
Member
- May 14, 2016
- 54
- 19
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]hilo jina lako sijui kama utapata field
Njoo pmHabari zenu wakuu. Mm ni mwanafunzi wa mwaka wa pili (bachelor) kozi ya ICT nataka kufahamu mashirika ama taasisi zinazotoa field ya ict kwa dar es salaam maana mwaka wa kwanza nilifanya arusha. Ningepata shirika lenye kiwango zaidi ili kuboresha taaluma yangu ingekuwa vyema zaidi. Naombeni ushauri wenu juu ya hili.
Jamii forums unatumia jina lolote. Tena ni vizur lisiloelewekahilo jina lako sijui kama utapata field
Ya pale mawasiliano?Nenda tcra utapata...
Habari zenu wakuu. Mm ni mwanafunzi wa mwaka wa pili (bachelor) kozi ya ICT nataka kufahamu mashirika ama taasisi zinazotoa field ya ict kwa dar es salaam maana mwaka wa kwanza nilifanya arusha. Ningepata shirika lenye kiwango zaidi ili kuboresha taaluma yangu ingekuwa vyema zaidi. Naombeni ushauri wenu juu ya hili.
sio kwa jina iloJamii forums unatumia jina lolote. Tena ni vizur lisiloeleweka
Habari zenu wakuu. Mm ni mwanafunzi wa mwaka wa pili (bachelor) kozi ya ICT nataka kufahamu mashirika ama taasisi zinazotoa field ya ict kwa dar es salaam maana mwaka wa kwanza nilifanya arusha. Ningepata shirika lenye kiwango zaidi ili kuboresha taaluma yangu ingekuwa vyema zaidi. Naombeni ushauri wenu juu ya hili.
ya kigoma...Ya pale mawasiliano?
Hata wewe mkuuhilo jina lako sijui kama utapata field