thetallest
JF-Expert Member
- Oct 21, 2017
- 8,270
- 9,116
Yupo mikwabiKiongozi huyu alikua akijinasibu kwamba ana kundi kubwa ndani ya ccm aliyowaita ccm asili ambao hawakubaliani na mwenyekiti wa sasa na wako tayari kuungana nae kupindua meza .
Chakushangaza alizundua kampeni Lindi zikiwa zimepooza sana .
Haukupita muda akasema tarehe 15/08/2020 mambo yatakua moto tukae mkao kabambe wa amsha amsha.
Gafla akaonekana airport akielekea Dubai ,alipoulizwa akasema ni utaratibu wake wa kawaida mara nne kwenda nchi hiyo kwa shughuli zake binafsi ikiwemo na kucheki afya yake .
Haukupita muda akarejea huku akilalamika.msaidizi wake Mr.LUANDA katekwa .
Jeshi la polisi nalo halikuchukua muda kujibu madai yake ,yakwamba msaidizi huyo wanamshikiria kwa utakatishaji fedha .
Kuanzia hapo haonekani wala hasikiki kabisa kufanya kampeni ,kulikoni?
Au ndio ule usemi ya kwamba ukisha kuwa nje ya mfumo unakuwa kama samaki nje ya maji ?
Hakika kila anayejaribu kuitikisa ccm huambalia madhara makubwa sana .
Hii taasisi (chama) kinamfumo gani kiasi kwamba wote waliojaribu kukitikisa walikwama na wallishia kujisalimisha ili kunusuru kidogo walichonacho including uhai .
Hakika ccm naifananisha na MOSSAD ,KGB,CIA, MIG 16 etc!
Mikwabi ndio wapi mkuu?Yupo mikwabi
😂😂😂😂😂😂😂Bongo Daslame mkuuMikwabi ndio wapi mkuu?
Kwenye ujasiriamali umri nimuhimu 'entry age in entrepreneurship is very important for aggressive selling' kwenye siasa inategemea 'selfimage'Kiongozi huyu alikua akijinasibu kwamba ana kundi kubwa ndani ya ccm aliyowaita ccm asili ambao hawakubaliani na mwenyekiti wa sasa na wako tayari kuungana nae kupindua meza .
Chakushangaza alizundua kampeni Lindi zikiwa zimepooza sana .
Haukupita muda akasema tarehe 15/08/2020 mambo yatakua moto tukae mkao kabambe wa amsha amsha.
Gafla akaonekana airport akielekea Dubai ,alipoulizwa akasema ni utaratibu wake wa kawaida mara nne kwenda nchi hiyo kwa shughuli zake binafsi ikiwemo na kucheki afya yake .
Haukupita muda akarejea huku akilalamika.msaidizi wake Mr.LUANDA katekwa .
Jeshi la polisi nalo halikuchukua muda kujibu madai yake ,yakwamba msaidizi huyo wanamshikiria kwa utakatishaji fedha .
Kuanzia hapo haonekani wala hasikiki kabisa kufanya kampeni ,kulikoni?
Au ndio ule usemi ya kwamba ukisha kuwa nje ya mfumo unakuwa kama samaki nje ya maji ?
Hakika kila anayejaribu kuitikisa ccm huambalia madhara makubwa sana .
Hii taasisi (chama) kinamfumo gani kiasi kwamba wote waliojaribu kukitikisa walikwama na wallishia kujisalimisha ili kunusuru kidogo walichonacho including uhai .
Hakika ccm naifananisha na MOSSAD ,KGB,CIA, MIG 16 etc!
Tatizo kubwa la Membe ni kushinda mitandaoni na kufikiri Kigogo ananguvu na Watu wa maana nyuma yake kumbe anajidanganya jamani amepata aibu ya mwaka hapa hatamani na hana nguvu ya kupanda jukwaani kabisa.Kiongozi huyu alikua akijinasibu kwamba ana kundi kubwa ndani ya ccm aliyowaita ccm asili ambao hawakubaliani na mwenyekiti wa sasa na wako tayari kuungana nae kupindua meza .
Chakushangaza alizundua kampeni Lindi zikiwa zimepooza sana .
Haukupita muda akasema tarehe 15/08/2020 mambo yatakua moto tukae mkao kabambe wa amsha amsha.
Gafla akaonekana airport akielekea Dubai ,alipoulizwa akasema ni utaratibu wake wa kawaida mara nne kwenda nchi hiyo kwa shughuli zake binafsi ikiwemo na kucheki afya yake .
Haukupita muda akarejea huku akilalamika.msaidizi wake Mr.LUANDA katekwa .
Jeshi la polisi nalo halikuchukua muda kujibu madai yake ,yakwamba msaidizi huyo wanamshikiria kwa utakatishaji fedha .
Kuanzia hapo haonekani wala hasikiki kabisa kufanya kampeni ,kulikoni?
Au ndio ule usemi ya kwamba ukisha kuwa nje ya mfumo unakuwa kama samaki nje ya maji ?
Hakika kila anayejaribu kuitikisa ccm huambalia madhara makubwa sana .
Hii taasisi (chama) kinamfumo gani kiasi kwamba wote waliojaribu kukitikisa walikwama na wallishia kujisalimisha ili kunusuru kidogo walichonacho including uhai .
Hakika ccm naifananisha na MOSSAD ,KGB,CIA, MIG 16 etc!
Kapigwa knokout ya hatariTatizo kubwa la Membe ni kushinda mitandaoni na kufikiri Kigogo ananguvu na Watu wa maana nyuma yake kumbe anajidanganya jamani amepata aibu ya mwaka hapa hatamani na hana nguvu ya kupanda jukwaani kabisa.
mshauri wake wa karibu amwambia ajikaze tu sio kwa ubaya [emoji23]
2020 tunarudi na MAGUFULI tena so labda asubiri 2025 huko
Exactly. CDM-ACT strategy.Membe anajua anachokifanya, wewe andelea tu na mbele kwa mbele yako.
Ndugu ukiona hivyo unue kila Kona wamekaba hadi penalty, pesa wakati huu huwezi iingiza kirahisiMimi naona Membe kama anafanya maigizo,dunia ya leo nani anakuja na gunia la fedha?
Pesa inasafirishwa kwa mitandao tena kwa muda mfupi sana.
Mbona hasemi chochote uzushi tuu, cdm ilimstukia mapema, walitaka mbereko ya cdm kwa kisingizio cha kuunganaHivi hamkujua kuwa Membe atampisha Lissu?
Deal done