Wewe ni mwanaume au mwanamke ?Wakuu nataka kufanya biashara ya kuuza protein powder suppliments kama Mass gainer, amino core etc naomba kujua wapi nitapata hizi suppliments kwa bei nafuu kwa ajili ya kuuza?
Anayejua hili chimbo please anisaidie hii biashara naitamani sana please!
Gym kuna mazoezi ya jinsia mbili si ndio ?Swali lako linahusiana vp na mada?
Kwa nini umekuwa mwepesi kutoa hili jibu ?Wewe unawekwa itakua
Nimekucheki dm