Mheshimiwa lowassa ni dad pia kama tunaeshimu wazazi wetu kuvunjia heshima wa wengine ni ujinga tuweni na heshima si mtu unakurupuka na kuleta hoja ya viongozi wetu bila kuwa na lamaana
Tumsubiri Pasco hapa kama ana la nyongeza.
]Unamtakia nini?[/COLOR] Kamtafute kwake Monduli.
Haujui yuko Nje anatembelea Balozi zote za Tanzania kula pesa za nchi na hapo hapo kukagua balozi? wakati ni huu,
anajiamulia chochote Utamu ndio huo kwahiyo ni miezi miwili na alikuwa nje mwezi mmoja uliopita, yaani wanakula pesa za
nchi kama zao.
Haya mambo hayatokei kwa bahati mbaya.Ndo style ya JK hiyo ya double standards...Kung'ata na kupuliza.Anafahamu fika nguvu za muhimili wa bunge, na hao kina EL na Chenge vijisenti, hawako hapo eti kwa bahati mbaya. Nape yeye ndo vuvuzela la "illusionist" mbele ya pazia la shows za "abra cadabra" for distraction purposes...Bunge letu limeangukia mikono mwa Lowasa na Chenge kirahisi kabisa. Wote wawili sasa ni wenyeviti wa kamati nyeti za mhimili huu muhimu na kwa maana hiyo wanaunda kile kinachoitwa Kamati ya Uongozi ya Bunge ambayo ina nguvu nyingi tu. Spika wetu amezingirwa kiaina na hawa jamaa wakisaidiwa kwa karibu na akina Serukamba, MomoseCheyo,...
Kwa maana hiyo wakati KIkwete anajitenga nao huku CCM na serikalini wao wamepata pa kupumulia.
Mh! Sidhani. Bunge lenyewe lina wafuasi wao wengi tu. Watu wanachaguliwa kuwa Wabunge kifisadi sana. Spika wetu mwenyewe ameipata nafasi hii kwa msaada mkubwa wa hawa jamaa. Unakumbuka Chenge alivyomng'ang'ania Sittta?Haya mambo hayatokei kwa bahati mbaya.Ndo style ya JK hiyo ya double standards...Kung'ata na kupuliza.Anafahamu fika nguvu za muhimili wa bunge, na hao kina EL na Chenge vijisenti, hawako hapo eti kwa bahati mbaya. Nape yeye ndo vuvuzela la "illusionist" mbele ya pazia la shows za "abra cadabra" for distraction purposes...
Huwezi kusema JK anawatenga kina EL na Vijisenti ccm, na wakati nafasi walizonazo ndani ya bunge, zinatolewa na hao hao chama tawala cha ccm chini ya usimamizi wa mwenyekiti wao!
Hilo la kudoubt kwako, naliacha kwasababu tu ya upande wa "JK kujitenga nao kwenye serikali yake". Hata hivyo bado hilo alishasema ilikuwa "ajali ya kisiasa", na Chenge alishasema yeye mwenye vijisenti wala hana wasiwasi, na ni kweli tupu tumeshagunduwa!Mh! Sidhani. Bunge lenyewe lina wafuasi wao wengi tu. Watu wanachaguliwa kuwa Wabunge kifisadi sana. Spika wetu mwenyewe ameipata nafasi hii kwa msaada mkubwa wa hawa jamaa. Unakumbuka Chenge alivyomng'ang'ania Sittta?
Utakumbuka kwamba Lowasa na Chenge walikuwemo kwenye Cabinet ya kwanza ya Kikwete. Sasa hivi hawamo. Tena waliondoka kwa aibu. Utakumbuka pia wote wawili walikuwa kwenye CC ya CCM. Huko nako hawapo tena ingawa wameng'ang'ania kwenye NEC ya CCM. Huku kulikamata Bunge wanasaidiwa na Wabunge wenzao. Wakati mahasimu wao akina Mwakyembe, Sitta wanapelekwa serikalini wao wanajiimarisha huku Bungeni ambako Spika ni mtu wao sana tu.Hilo la kudoubt kwako, naliacha kwasababu tu ya upande wa "JK kujitenga nao kwenye serikali yake". Hata hivyo bado hilo alishasema ilikuwa "ajali ya kisiasa", na Chenge alishasema yeye mwenye vijisenti wala hana wasiwasi, na ni kweli tupu tumeshagunduwa!
Ila kwa upande wa bunge, unakubaliana na mimi kuwa kauli ya kwamba "JK anajitenga nao ccm" haina mantiki? Hizo nafasi za uongozi bungeni zinatolewa na nani?
Mkuu please usipotoshe umma, nani aliondoka kwa aibu?Ama hutaki kukumbuka kuhusu "ajali ya kisiasa"?Utakumbuka kwamba Lowasa na Chenge walikuwemo kwenye Cabinet ya kwanza ya Kikwete. Sasa hivi hawamo. Tena waliondoka kwa aibu. Utakumbuka pia wote wawili walikuwa kwenye CC ya CCM. Huko nako hawapo tena ingawa wameng'ang'ania kwenye NEC ya CCM. Huku kulikamata Bunge wanasaidiwa na Wabunge wenzao. Wakati mahasimu wao akina Mwakyembe, Sitta wanapelekwa serikalini wao wanajiimarisha huku Bungeni ambako Spika ni mtu wao sana tu.
Waliondoka kwa aibu kubwa. Kama ulimsikiliza Lowasa siku anaaga Bungeni wala hauwezi kubisha. Tayari ni historia na hakuna kitakachoibadili. Chenge yeye alimuaga bosi wake kiaina wakiwa kule China.Mkuu please usipotoshe umma, nani aliondoka kwa aibu?Ama hutaki kukumbuka kuhusu "ajali ya kisiasa"?
Waliondoka kwa shinikizo, tena EL alijiuzulu na hakufukuzwa kazi.
Ndo maana ninasema kuwa kama kweli JK angeamuwa kuwaondoa kabisa angeweza, alifunika kombe kwa kumpachika Nape kimazingaombwe ili kuwe na vuvuzela la kudanganya watu kuwa ufisadi unapigwa vita, tena kwa usanii wa "kuvuana magamba", we shahidi magamba yamegoma!
Ndo maana nikasema ni kama illusions.
Hivi uwizi wa Richmond na kujiuzulu ndo kaondoka kwa "aibu kubwa"?Waliondoka kwa aibu kubwa. Kama ulimsikiliza Lowasa siku anaaga Bungeni wala hauwezi kubisha. Tayari ni historia na hakuna kitakachoibadili. Chenge yeye alimuaga bosi wake kiaina wakiwa kule China.
Kile kitendo cha kuutema UwaziriMkuu uliokuwa umemnogea kiasi kile tena kwa kipindi kifupi namna ile ilikuwa ni AIBU kubwa. Ni doa kubwa kwake. Ile kitu ilim-derail sana tu. Unajua malengo ya Lowasa hayakuwa UwaziriMkuu peke yake.Hivi uwizi wa Richmond na kujiuzulu ndo kaondoka kwa "aibu kubwa"?
Mkuu aibu kwa kujiuzulu kama kweli ni mtuhumiwa badala ya jail?
Hotuba ya kujiuzulu ndo aibu kivipi na mtu bado ni powerfull?Hivi mbona huzungumzii kuwa JK alisema ni "Ajali ya kisiasa" Ajali toka lini ikawa aibu mkuu?
Pia aibu kivipi na wakati alisema hakuhojiwa?Hizi stori za aibu ni za watoto wa kindergaten.
mhh! Au umekusudia???ben mambo vipi bwana? long time no hear you
hiyo mbona iko safi tu. we teacher nini?mhh! Au umekusudia???