Salaam wakuu,
hivi hapa dar kuna kituo cha kuwatibu waathirika wa madawa ya kulevya?
Kwa maana ya kambi
maana nina shemeji yangu hashikiki kwa hayo madawa licha ya kwamba anatibiwa muhimbili na pale amana hosp. Mambo naona si mazuri

Mkuu pole sana, kuna mahali pamefunguliwa hebu pitia hapa kwenye hii link naona wameweka na contact zao unaweza kuwapigia ukajua zaidi baada ya kuisoma wanachokifanya kuwahudumia:
mkuu pole sana, kuna mahali pamefunguliwa hebu pitia hapa kwenye hii link naona wameweka na contact zao unaweza kuwapigia ukajua zaidi baada ya kuisoma wanachokifanya kuwahudumia:
Hongera sana kwa kutamani kumpa support ndugu yako. Addiction inahitaji support.ya kila mtu kwa sababu ni ngumu kutibika na vishawishi vipo kila mara. Anapata support groups? Hebu browse sober house., naona wana activities kadhaa.