Mbona huyu mama kanyamaza sana? haoni yanayotokea nchini? au kwa vile anajua chama chake kinahusika? BISIMABA vurugu za kisiasa zinatunyima uhuru huku kwetu MTWARA, uko wapi? au kwa vile wajua kabisa kuna vijana wa chama chako wamepiga kambihuku Mtwara na kuhamasisha vurugu baada ya zoezi lao la M4C kuambulia patupu?
ameenda shule, kwasababu mengi ya anayoongea ni siasa, si ya kitaaluma. anajifanya anajua sheria kumbe hamna kitu kichwani, doctor mzima anaongea kama mwanasiasa wa la saba. atakuwa ameenda kusoma, au anaogopa kung'olewa kucha.
kamwongoa kiwanga kumbe hamna kitu anakera sana! uwezi kuachia madaraka kwa miaka mitatu afu urudi eti unadai nafasi yako na kiukweli ufanisi wa kituo cha sheria na hai za binadamu umekwenda chini tangia huyu mama arudi kasi aliyo anzisha kiwanga imepotea atakiua kituo asipopatikana mtu mwingine wa kuongoza kituo hiki!