Wapi Arusha Naweza jifunza lugha za kigeni?

Malingumu

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2012
Posts
616
Reaction score
433
Habarini!
nipo Arusha Mjini, ngependa kujua sehemu gani wanafundisha lugha kama Kifaransa,Kireno,Kichina au ki-spanish, etc.

Kama unajua plz naomba msaada wako..

Shukrani!
 
Upo Arusha mjini eneo gani, Jiji kubwa hili ndugu???
 
Nipo r chuga lakini sijui. Ukitaka kufundishwa kimasai ntafute
 
Karibu na Mount Meru Hotel...
Kuna The Mountain Institute kipo Kaloleni pale wanafundisha lugha zote... Kijerumani, Kifaransa, Kiitaliano, Kispaniola na Kiingereza... Chuo kipo karibu kabisa na kituo cha polisi kaloleni! Ni Chuo maarufu sana watu wamezoea kupaita kwa babu... Kuna mzee mmoja pale wa siku nyingi sana anafundisha kijerumani ndio anaitwa Babu.
 
Alliance de Francaise (France) wapo kule uzunguni AICC...
 
Asante... nitafika hapo.
 
Nenda na datasky kaulizie hizo lugha.data sky wako kwenye booking ofisi za kilimanjaro bus.
 
Uyo babu nampata.ni shida.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…