falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,225
- 9,352
Watanzania wanahaki ya kujua mahali wanapoishi viongozi waliowachagua, sasa swali la msingi ni wapi alipo aliekuwa makamu wa rais wa serikali ya mapinduzi ya zanzibar mzee wetu maalim Seif Sharifu Hamad. Kwa wale magreat thinker tayari washang'amua kitu hapa
Sawa ngoja tuoneAsante, time will tell
Nini tena? Amenyamazishwa?
Utaelewa baadae maana ya hii Presidential initiative.
ukishajua?