Nimefuta wote nimebakisha hiyo list ambayo umeniweka, kwanza utambue Kasie ni former Kasinde hivo nakutajia waliokuwa wachumba zangu miaka hiyo...... na hapo utanitoa kwenye hiyo list ya kuwa na Smart911 kwasababu niko na dadii angu.
Dadii amenishika vidole nisiwaandike kapo zangu za zamani hivo nimesitisha kuwataja.
Ukipenda waweza weka kapo ya Kasie na Dadii aka Nyonda-ake Kasie na si mwingine yeyote. Vile twajiandaa na vacation ya mwisho wa mwaka huu mambo motomoto yafuata.
Ndio.
Hatuna tatizo na mtu
Wenza tunaopendana wenyewe.....kwenye shida na raha tuko pamoja.
Asa ole wako uongeze mke wa tatu kama uzi huu unavyodai, ndipo utakapoijua nguvu ya buku.