Wapenzi wa Ugali tusikubali kuonewa

Busu la Kenge

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2025
Posts
2,543
Reaction score
4,670
Nikiwa mmoja wa wakereketwa wa Ugali Ugali Fanatic Niko mstari wa mbele kuutetea na kuulinda Ugali chakula pekee Bora Kwa afya na maisha ya binadamu.

Hivi Karibuni humu jamvini kumetokea na wimbi la wasomi uchwara wachache na baadhi ya watu ambao wanaushambulia Ugali bila sababu yoyote ya msingi.

Hatutakubali hii tabia iendelee. Hatua stahiki zitachukuliwa ikiwepo ya kinidhamu Kwa wale wote wanaoipaka tope na kudislike chakula kuntu Ugali.

Ugali ni urith wetu heritage, ugali ni nembo yetu na ugali ni utambulisho wetu Identity.

#UgaliFirstUgaliForever

adriz
 
Ugali w aina gani
 
😂
 
Mpaka wazungu wanaukubali ugali! Kuna wamarekani ma Waholanzi nilifanya nao kazi. Walipoonja dona la Usukumani kwa mlenda na samaki pembeni hawakutaka kuacha! Mkuu nimetoka kupiga kwa samaki
 
Pamoja mkuu.


Mwenye Hekima Daniel licha ya kuletewa vinono na mfalme bado alikula ugali WA mtama na akanona kuliko hata waliokula bata Kwa mrija.



Ugali oyeeee
 
Sasa huo mkuu uukute na ka kuku ka kienyeji ka mtetea kemerostiwa vizuri, weweeee!!
Eti mwanaume mzima anakula ugali wa sembe iliyo kobolewa halafu nayeye anawacheka wanao kula chips, inamuangaliaaaaa halafu unajisema hiiiiiii!!
 
Bila ugalii hii nchi isingefika hapa,
Ugali utengenezewe sanamu yake pale ikulu.
 
Naunga mkono hoja
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…