Wasalamu JF members,kwa wale wapenzi na wafuatiliaji wa Mtv Shuga inaendelea na Tanzania tunawakilishwa vyema na Msanii wa bongo fleva Vanessa Mdee,hivyo Basi kwa anayejua link ya kuweza ku-download hy series please share kwani Mara nyingi nilikuwa napata kwa watu walio download nimejaribu ku-search kwenye mitandao sijafanikiwa. Asanteni
Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app