Wapenzi wa jinsia moja Tanzania wawalilia wenzao waliouawa huko Marekani

gwa myetu

JF-Expert Member
Aug 18, 2014
4,473
4,665
Mashoga maarufu wa Tanzania wameombolez vifo vya wenzao vilivyotokea Jumapili huko Marekani . Wamelaani kitendo hicho na kumwomba Mungu aziweke roho zao pema peponi .

Mijadala imezuka kama wana haki ya kuombewa / kuswaliwa na viongozi wa dini au la kutokana na matendo yao.

source page za watu hao Instagram

On Sunday, 29-year-old Omar Mateen opened fire in a crowded gay nightclub in Orlando, Florida, killing 49 people and injuring 53 others. The shooting was classified by the US police as an act of terrorism and caused a wave of shock across the United States.
"June 12 will remain in the memory [of US residents] as the worst nightmare. From Orlando to Florida — for the entire country. 50 people have been killed. They just wanted to dance but were coolly shot by a young man," the article said.
US intelligence agencies are still working on an explanation of the terrorist's motive behind the shooting. The FBI has confirmed that the shooter, Omar Mateen, swore allegiance to the Islamic State (ISIL or Daesh) terror group before carrying out the attack.
The key questions remain yet to be answered: Did he perform a mission for Daesh? Was he inspired by Daesh? Did the FBI make a fatal mistake? Have the agents lost track of Daesh terrorists?
Orlando Massacre: US Going Through Its 'Worst Nightmare'
 
Hilo lilikuwa pigo kutoka kwa Mungu, yaani ni aina fulani ya gharika. Ingawa sipindi kitendo cha kuua mtu au watu lakini kwa hao wapenzi wa jinsia moja kujifungia club na kufanya get together party ni kufuru ya hali ya juu. Nathani huyo aliyewaua hana uhusiano wowote na magaidi, bali alikasirika tu jinsi watu wanavyomkosea Mungu.
 
Mashoga maarufu wa Tanzania wameombolez vifo vya wenzao vilivyotokea Jumapili huko Marekani . Wamelaani kitendo hicho na kumwomba Mungu aziweke roho zao pema peponi .

Mijadala imezuka kama wana haki ya kuombewa / kuswaliwa na viongozi wa dini au la kutokana na matendo yao.

source page za watu hao Instagram

'
Vipi wana club yao hapa kwetu? Maana watu wasije wakaiga mfano. Kidding....
 
nasikia kumbi za taarabu ndo club zao hao watu , wale wanaojiita high class wao kwenye hotel na club za mziki maarufu ndo viwanja vyao
 
temeke ulitokea msiba wa shoga kutokana na sheria ya kiislamu shoga akifa hazikwi kwa taratibu za kiislamu basi wakaenda kutafuta sheikh mtaa wa mbaali ili aje kuswalia. shekhe alivyofika akaswalia maiti baada ya kuswalia mzoga wa shoga watu wakamjulisha shekhe kuwa amemswalia shoga basi sheikh akasema sitaendesha mazishi baada ya sheikh kugoma vijana wahuni wakajitolea kumfukia ...cha ajabu unakuta midume tena mbavu hasaa inalia eti kiislamu sie wanawake haturuhusiwi kwenda makaburini kwa heri aunt tutakutana kwa mungu
 
Hhahahahahaha dah et hawaruhusiwi kwenda makaburini
 
Wewe ni mwanamke? Aisee.
 
Marekani bana yaani wao kila kitu ugaidi tu haswa kitendo kifanywe na raia mwenye asili ya Arab

ndo hapo usikute ni wivu tu wa kimapenzi labda jamaa mshirika wake alikuwa na mwingine hivyo kuwaka hasira
 
Back
Top Bottom