Amen rafiki. UbarikiweWow! Glory be to God!
Nawapenda sana wasabato.
I hope n Pray siku moja nami niwe 'Msabato'
Sabato mbali na uimbaji wana mafundisho mazuri sana wenyenyekevu sana mbele za Bwana!
Huwezi kuzichukua,sababu zipo youtube na alichokifanya aliyepost ni kuzisogeza karibu yako tu.Hizi video nazichukuaje hapa??
Ok asanteHuwezi kuzichukua,sababu zipo youtube na alichokifanya aliyepost ni kuzisogeza karibu yako tu.
Jaribu kuingia hapa uweze kupakua app ya ku-download videos kwa HD ...download vidmate - hd video downloader free (android)
post using my macbook air using jamiiforums app
Barikiwa saana...Ok asante
Mkuu unataka download links au....?Ukitaja wimbo unauweka basi mambo gani ayo
Joyous celebration ni squad nzuri katika uimbaji wa nyimbo za injili...
Mimbo yao karibia yote ni inspiration...
Barikiwa saana...
post using my macbook air using jamiiforums app
Upi mkuu..?[QUOTE="shedede, post: mkuu nautaka huu vipi naupata?
1. Heaven is in my heart wa Graham Kendrick
2. I believe in Jesus ~ sijui nani kaimba kwakweli ila ngoja nifanye utaratibu niuweke hapa